Scan date : 12/05/2024 02:58
DayHourType Event Name LangEvent nameShort EventExtended LangExtended Event
12/0501h15>02h15 (0x12) adventure
western
war
swaKitanda Kitanda swafilamu hii inamuhusu fundi vitanda ambae anajikuta anatapeliwa na vijana wa kihuni
12/0502h15>03h30 (0x12) adventure
western
war
swaKifoKifoswafilamu hii inamuhu fau binti aliye fitinisha penzi la mwenzie ili amapate yeye mwanaume na mwisho mauti yalimkuta.
12/0503h30>04h45 (0x12) adventure
western
war
swaJajaJajaswa
12/0504h45>06h00 (0x12) adventure
western
war
swaIluviIluviswafilamu hii inamuhusu jona na dula marafikia mabao walikua wakisaidiana kwa hali na mali.jona alimsaidia dula atimize ndoto zakae katika muziki kitu ambacho alikua nakipenda sana ,jona akafanya mamamuzi ya kuuza simu yake ili dula arekodi wimbo baada ya dula kufanikiwa na kua masanii mkubwa alimkana jona na kumtupa kanakwamba sio rafiki yake aliyemsaidia.
12/0506h00>08h00 (0x12) adventure
western
war
swaHeka HekaHeka Hekaswafilamu hii inahusu maisha ya uswahilini ambayo kuna hekaheka za uswahili na maisha duni.
12/0508h00>09h00 (0x12) adventure
western
war
swaKisa SembeKisa SembeswaUKUBWA WA MWILI HUWEZI KUFANANISHA NA MATENDO YA MTU HAYA YAMEMKUTA KALUNDE BAADA YA KUSAHAU NAFASI YAKE KATIKA FAMILIA.
12/0509h00>09h30 (0x12) adventure
western
war
swaToboa ToboToboa Toboswani tamthilia inayomuhu mzee tobatobao ambae alikua na mali nyingi watoto wengi na wanawake wengi balaa zito la mgogoro wa mali linatokea baada ya mzee huyu kufariki na kumauchia matatizo haya kaka yake mzee simba kalia.
12/0509h30>10h00 (0x12) adventure
western
war
swaSiriSiriswatamthilia hii inaonyesha maisha ya binti ambae alibambikiwa maiti katika gari yake ambayo alikua akiifanyia biashara na kujikuta anatafuta namna ya kujitoa kwenye kesi hiyo.
12/0516h00>16h30 (0x12) adventure
western
war
swaToboa ToboToboa Toboswani tamthilia inayomuhu mzee tobatobao ambae alikua na mali nyingi watoto wengi na wanawake wengi balaa zito la mgogoro wa mali linatokea baada ya mzee huyu kufariki na kumauchia matatizo haya kaka yake mzee simba kalia.
12/0516h30>17h00 (0x12) adventure
western
war
swaSiriSiriswatamthilia hii inaonyesha maisha ya binti ambae alibambikiwa maiti katika gari yake ambayo alikua akiifanyia biashara na kujikuta anatafuta namna ya kujitoa kwenye kesi hiyo.
12/0517h00>17h30 (0x12) adventure
western
war
swaToboa ToboToboa Toboswani tamthilia inayomuhu mzee tobatobao ambae alikua na mali nyingi watoto wengi na wanawake wengi balaa zito la mgogoro wa mali linatokea baada ya mzee huyu kufariki na kumauchia matatizo haya kaka yake mzee simba kalia.
12/0517h30>18h00 (0x12) adventure
western
war
swaSiriSiriswatamthilia hii inaonyesha maisha ya binti ambae alibambikiwa maiti katika gari yake ambayo alikua akiifanyia biashara na kujikuta anatafuta namna ya kujitoa kwenye kesi hiyo.
12/0518h00>19h00 (0x12) adventure
western
war
swaSinemekaSinemekaswani kipindi ambacho kinazungumzia vipindi vyote vinavyoendelea katika chaneli ya sinema zetu.
12/0519h00>19h30 (0x12) adventure
western
war
swaToboa ToboToboa Toboswani tamthilia inayomuhu mzee tobatobao ambae alikua na mali nyingi watoto wengi na wanawake wengi balaa zito la mgogoro wa mali linatokea baada ya mzee huyu kufariki na kumauchia matatizo haya kaka yake mzee simba kalia.
12/0519h30>20h00 (0x12) adventure
western
war
swaSiriSiriswatamthilia hii inaonyesha maisha ya binti ambae alibambikiwa maiti katika gari yake ambayo alikua akiifanyia biashara na kujikuta anatafuta namna ya kujitoa kwenye kesi hiyo.
12/0520h00>21h15 (0x12) adventure
western
war
swaAgataAgataswafilamu hii inamuhusu agsa binti aliyejikuta anaingia katika matatizo na kuingizwa katika uhusiano wa kimapenzi na mkuu wa genge la uhalifu baada ya kuwashuhudia wakifanya tukio la mauji makaburini ,hali hiyo ya vitisho ilimpelekea agsa kukubali kila alichoambiwa na mkuu wa genge hilo ilikunusru maisha ya mpenzi wake musa na familia yake,lakini agata ambae ni dada wa agsa aliamua kuingilia kati katika swala hili baada ya mdogo wake kumueleza ukweli juu ya genge hilo la uhalifu na agata akachukua.
12/0521h15>22h00 (0x12) adventure
western
war
swaPatashikaPatashikaswafilamu hii inahusu maisha ya uswahilini ambako hakuna amani muda wote ni migogoro tuu.